HABARI

KARIBU MUSOMA MCH GEOFREY MBWANA

Ni ukaribisho wa Makamu mwenyekiti wa kanisa la Waadventista wa Sabato ulimwenguni mch Gofrey Mbwana kwenye uwanja wa ndege Mainispaa ya Musoma.

 

 

Siku ya hitimisho la mikutano ya Total member involvement (TMI) iliyofanyika kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge na kurushwa moja kwa kwa moja na Morning star Tv.Tukio hilo lilihitimishwa na ugawaji wa vyeti vya ushiriki kwa wachungaji kutoka union za ukanda wa Mashariki kati mwa Afrika.