HABARI

Matukio katika picha ,mkutano wa ECD youth camporee

Siku ya hitimisho la mikutano ya Total member involvement (TMI) iliyofanyika kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge na kurushwa moja kwa kwa moja na Morning star Tv.Tukio hilo lilihitimishwa na ugawaji wa vyeti vya ushiriki kwa wachungaji kutoka union za ukanda wa Mashariki kati mwa Afrika.