Explore shows

Adelante-Songa mbele

Kipindi kinachokupatia mfululizo wa mahubiri ya kukutia moyo

 
Afya na raha

Afya na raha ni kipindi kinachokupatia elimu ya mambo mbalimbali yanayohusu afya ya miili yetu.

 
ANZA NA BWANA

Kipindi kinachokupatia jna wasaa ya kuamka na mibaraka ya Mungu .

 
lulu za injili

Lulu za injili ni kipindi kinachokupatia wasaa mzuri wa kufahamu nyimbo kupitia mahojiano na watunzi ,waalimu na wataalamu wa muziki.

 
Mkono wa Bwana

Ni kipindi kinachokupatia wasaa wa kuangalia shuhuda mbalimbali za namna Yesu alivyokuwa mwema kwa watu wake.

 

Featured episodes

MAKALA

Lulu za injili