WASIFU WA SHIRIKA
NJOZI NA MIPANGO
Hope channel Tanzania ni kituo cha utangazaji kinachomilikiwa na kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania.Kupitia Runinga hii utapata mafundisho mbalimbali ya kijamii,kiuchumi na kiroho.
Njozi
Ni kuwa kuwa kituo kikubwa cha Television kitakachoweza kufikia watu wengi zaidi katika kona mbalimbali za dunia.
Mpango
Ni kutangaza ujumbe wa malaika watatu kwa kutumia teknolojia ya wakati husika katika viwango vya juu.