Show

Afya na raha

Afya na raha

Kupitia kipindi hiki utaelimika na kufahamu mifumo mbalimbali ya miili yetu na namna inavyofanya kazi.Vile vile utafahamu magonjwa visababishi vya magonjwa na namna ya kukabiliana navyo.Uimara wa miili yetu pia hutegemea aina ya vyakula tunavyotumia haya yote utayapata kupitia kiopindi hiki kizuri kinachoonekana kila siku za jumatatu saa moja na nusu jioni.

Latest episodes

November 02, 2017

Afya na raha ni kipindi kinachokupatia elimu ya mambo mbalimbali yanayohusu afya ya miili yetu.

Host

Contact us

Please don't fill in the following two fields!

Please contact us if you have any questions, comments or messages. We'd love to hear from you!