Mkono wa Bwana
Yesu kwetu ni rafiki,kila tunapomtegemea ndipo naye hutupatia ushindi ulio mkubwa.kupitia kipindi hiki utaona mkono wa BWANA unaotenda kazi katika maisha ya watu mbalimbali.Usikose kuangalia kila siku za ijumaa mara inapofika saa mbili kamili usiku.