Show

Vijana na wakati

Vijana na wakati

Vijana kutokana na umuhimu wao katika kanisa wamekuwa na changamoto nyingi .Kuopitia changamoto hizo wapo ambao wamekata tamaa na kurudi nyuma zaidi hivyo kushindwa kufikia malengo yao.Kwa kufanya majadiliano na kupeana uzoefu mambo yote yanawezekana.Kupitia kipindi hiki utajifunza na kufahamu changamoto mbalimbali za vijana na namna ya kukabiliana nazo.Usikose kufuatilia kila siku za jumapili saa sita asubuhi.

Latest episodes

November 02, 2017

Vijana na wakati

Host

Contact us

Please don't fill in the following two fields!

Please contact us if you have any questions, comments or messages. We'd love to hear from you!