Hedaru Net Event
Hedaru Net event 2020 | TUMAINI LITOKALO JUU
About the Show
NET EVENT ni mfululizo wa mahubiri yanayorushwa kwa njia ya Televisheni, Satelite, Radio nakwenye mitandao ya Kijamii. Hedaru Net Event ni mkutano ulifanyika Hedaru Wilayani Same na Kushuhudiwa na Maelfu ya Watu kupitia Njia mbalimbali za Mawasiliano. Neno kuu katika Mkutano Huu ni Tumaini Litokalo Juu.
Categories
Bible, Family, Health
Episodes
2
test