MWONGOZO WA BIBLIA
Ungana na Mtangazaji wako Mercy Kaanaeli akiwa na wanazuoni Mch. Mussa Mika na Mch. Robert Tuvako katika uchambuzi wa somo la Sita la Robo ya tatu ya mwaka 2022 katika kitabu cha Mwongozo wa kujifunza Biblia

Videos
Mwongozo wa Kujifunza Biblia Juma hili na Mercy Kaanaeli.
Ungana na mtangazaji wako Mercy Kaanaeli akiwa na wanazuoni Mussa Mika na Robert Tuvako kutoka Nyumba ya Uchapaji ya Ufunuo

Categories
Bible, Faith
Episodes
10