WASIFU WA SHIRIKA

NJOZI NA MIPANGO

    

Hope channel Tanzania ni kituo cha utangazaji kinachomilikiwa  na kanisa la Waadventista wa Sabato Tanzania.Kupitia Runinga hii utapata mafundisho mbalimbali ya kijamii,kiuchumi na kiroho.

 

      Njozi

Ni kuwa kuwa kituo kikubwa cha Television kitakachoweza kufikia watu wengi zaidi katika kona mbalimbali za dunia.

 

Mpango

Ni kutangaza ujumbe wa malaika watatu kwa kutumia teknolojia ya wakati husika katika viwango vya juu.