Hedaru Net Event

Hedaru Net event 2020 | TUMAINI LITOKALO JUU

MWONGOZO WA BIBLIA

Ungana na Mtangazaji wako Mercy Kaanaeli akiwa na wanazuoni Mch. Mussa Mika na Mch. Robert Tuvako katika uchambuzi wa somo la Sita la Robo ya tatu ya mwaka 2022 katika kitabu cha Mwongozo wa kujifunza Biblia

NJOMBE NET EVENT 2026

Njombe Net Event, ni mfululizo wa mahubiri kwa njia ya Satelitena Mitandao ya kijamii, Ambayo ina Neno kuu Lisemalo TUMAINI LENYE BARAKA, mnenaji Mkuu akiwa Mch. Baraka BUtoke.